ABOUT THIS PODCAST 🔗

Update frequency:
biweekly
Average audio length:
75 minutes
Guest interviews
English
United States
51 episodes
since Dec. 20, 2023
episodic

LATEST EPISODE 🔗

Send us Fan Mail Kuna kitu kinabadilika kwenye namna Watanzania wanavyofikiria kuhusu pesa na uwekezaji. 📈🇹🇿 Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia muamko wa uwekezaji, lakini what does this really tell us about our economy and where we're headed? Kwenye Episode 6 ya MSASA Podcast, Imani Muhingo …

SEARCH PAST EPISODES

Search past episodes of MSASA Podcast.

PREVIOUS EPISODES

Send us Fan Mail Maisha ya sanaa yana mambo mengi, na kwa bahati mbaya, mengi hatuyaoni mbele ya hadhira. Tunachokiona mara nyingi ni kile tu ambacho mastaa tunaowapenda wanakifanya, na sisi ku-enjoy kazi zao. Lakini nyuma ya pazia, maisha hayana script na kwa asilimia kubwa sana wote tunafanana. M…
Send us Fan Mail   Pesa ni sehemu ya maisha yetu kila siku. Tunaitafuta, tunaipangia mipango, tunaitumia, na kila wakati… tunaiwazia. Lakini hofu hii ya pesa inatoka wapi? Na kwa nini pamoja na kufanya kazi, kupata kipato na kujaribu kupanga maisha yetu, bado pesa inabaki kuwa chanzo cha mawazo na …
Send us Fan Mail   What if you're not dreaming too small, you just haven't been exposed to enough? In this episode of MSASA, we sit down with Lwidiko Edward Mhamilawa, a trained medical doctor who moved from medicine and academia into STEAM education and social entrepreneurship, building …
Send us Fan Mail People are at the centre of every business, but finding, developing and keeping the right people is a different game altogether. In this episode of the MSASA Podcast, Bryan Russell takes us beyond the usual HR conversation into the realities of people, business, and what it really …
Send us Fan Mail Baada ya kuzungumzia pesa kwenye Episode 1 ya Season 2, sasa tumehamia kwa watafutaji wakuu wa hiyo pesa - vijana. Wanatafuta mkwanja. Wanatafuta kutoka. Wanatafuta kujikwamua. Lakini kwenye safari hii ya kutafuta, kujijenga na kufanikiwa, kitendawili cha kijana kufanikiwa kinateng…
Send us Fan Mail Karibu msasani! 🎙️ Leo tuko na John George, na tunazungumza kuhusu jambo ambalo kila mmoja wetu analifukuzia, PESA. Lakini je, kupata pesa ndiyo changamoto kubwa, au kuzitunza? Financial freedom ni nini hasa? Na kwa nini maamuzi madogo tunayofanya leo yanaweza kuamua maisha yetu ya…

Mpishi wa pilau

Send us Fan Mail
Send us Fan Mail Je unapenda kula?Je wewe ni mnazi wa pilau?Je ukiwekewa pilau na pilau utakula pilau?Episode hii ya @Msasapodcast inanukia viungo vya pilau tamu kutoka kwa main chef @gillsaint.Humu ni nondo za jinsi gani unaweza kutobowa kwenye ulimwengu huu wa kujiajiri na kuajiriwa mtandaoni.Tuf…

Bongo Mkononi

Send us Fan Mail Bongoflava imekuwa sauti ya kizazi - lakini ni nani aliyeianzishia safari? Karibu kwenye Msasa wa  Taji Liundi — “Master T”..
Disclaimer: The podcast and artwork embedded on this page are from Elisha Simon, which is the property of its owner and not affiliated with or endorsed by Listen Notes, Inc.