HAKI NDANI YA KRISTO
Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, ili sisi, tukiwa wafu kwa dhambi, tuwe hai kwa mambo ya haki; na kwa kupigwa kwake mliponywa.
( 1 PETRO 2:24)
Wakati dhamira yangu inanihukumu, kuna jambo moja tu najua ambalo linaweza kunipa raha na amani. Ni kujua kwamba Yesu wa…
KAMA ILIVYOKUWA KWETU MWANZO
Roho akaniambia nifuatane nao, nisione tashwishi. Ndugu hawa sita nao wakaenda pamoja nami, tukaingia katika nyumba ya mtu yule;akatueleza jinsi alivyomwona malaika aliyesimama nyumbani mwake na kumwambia, Tuma watu kwenda Yafa ukamwite Simoni aitwaye Petro, atakayekuambia maneno ambayo yatakuokoa,…
UTHIBITISHO MAALUM
Kwa maana itajulikanaje kuwa nimepata neema mbele zako, mimi na watu wako? Siyo kwa sababu unakwenda pamoja nasi, hata mimi na watu wako tutengwe na watu wote walio juu ya uso wa nchi? KUTOKA 33:16
Musa aliombea uthibitisho maalum wa Kanisa na utume wake. Huu ndio ujumbe wa Kutoka 33:16. Watu wa M…
MIPAKA KWA AHADI
Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake.
WARUMI 8:28
Kuna upeo wa ahadi hii. “Na tunajua kwamba vitu vyote hufanya kazi pamoja kwa faida ya wale wampendao Mungu, kwa wale walioitwa kulingana na k…
Karibu Binti Utalii
BINTI UTALIINi progam inayowalenga Mabinti wa umri wa miaka 18-35 yenye lengo la kuwaleta Pamoja na kusimama katika kukuza utalii na utamaduni kupitia Sanaa na mitindo mbalimbali. Vilevile program hii imelenga kupitia utalii na tamaduni kuweza kutokomeza changamoto mbali mbali zinazo mkabili mtoto …
Wednesday 25 2020 Daily Mass
MASOMO YA MISA, MACHI 25, 2020
JUMATANO, JUMA LA 3 LA KWARESIMA
SHEREHE YA KUPASHWA HABARI YA KUZALIWA BWANA
SOMO 1
Isa. 7:10 – 14
Bwana alisema na Ahazi akinena, Jitakie ishara ya Bwana, Mungu wako; itake katika mahali palipo chini sana, au katika mahali palipo juu sana. Lakini Ahazi akasem…
SHUHUDA ZA TENZI na Emmanuel Shedo
BW MUNGU NASHANGAA KABISA.
How Great Thou Art.
Tenzi 114.
Na, Stuart Keene Hine 1899 - 1989.
Bw. MUNGU Nashangaa Kabisa! Umechaguliwa na wapenzi wa nyimbo za sifa huko Great Britain, kuwa utenzi wa Rohoni unaotumika kwenye hafla nyingi nchini humo.
Nchini…
Tomorrow Is Not Guaranteed: Dreaming Big with Kathy Kempff
In this episode, Tim Sarrantonio sits down with Kathy Kempf, founder of Nuclavis, to explore the evolving world of peer-to-peer fundraising. From the rise of creative event models like pickleball tournaments and ice hockey to the transformative role of mobile apps, Kathy shares how nonprofits can…
38 - From Code to Compassion: Building Moja Tu and Changing Lives with Kathy Kempff
In this episode of Innovator Insights, Kathy Kempff shares how a single trip to Kenya transformed her perspective on purpose, philanthropy, and education. Inspired by the story of a young girl who simply wanted the chance to learn, Kathy founded Moja Tu, a nonprofit providing one-to-one educational…
Cynthia Occelli — Author, Life Coach & Mentor
Kara and Cynthia Occelli, author of RESURRECTING VENUS, discuss growth and transformation.
Cynthia is part of the 2026 Mother’s Day weekend special series.
Topics:
The origin of Cynthia's famous "seed" quote
Cynthia’s journey from ninth-grade dropout and welfare mom to law school graduate and succ…
PODCAST ရှာဖွေရေးအင်ဂျင်
3,826,057ပေါ့တ်ကာစ်များနှင့်195,988,214အပိုင်းများကို လူများ၊ နေရာများ သို့မဟုတ် အကြောင်းအရာများအလိုက် ရှာဖွေရန် ကျွန်ုပ်တို့၏ဝဘ်ဆိုက်ကို အသုံးပြုနိုင်ပါသည်။
အသိပညာတွင် ရင်းနှီးမြှုပ်နှံခြင်းက အကောင်းဆုံးအကျိုးအမြတ်ပေးသောကြောင့် podcast များ နားထောင်ပါသည်။
‐ Benjamin "Llamacorn" Franklin
ပြင်ဆင်ပါ
ပေါ့ဒ်ကတ်စ် ဒေတာဘေ့စ်ကို နောက်ဆုံးပေါ်အချိန်နှင့်တပြေးညီဖြစ်စေရန် ကူညီပေးသည့်အတွက် ကျေးဇူးတင်ပါသည်။