Swahili Education podcasts 2018 | Listen Notes

Education Podcasts

Podcasts
• Mada hii inazungumzia zama za fitna najinsi yakujitoa katika fitna,namambo aliyo tabiri Mtume s.a.w, ktk zama za mwisho. • Mada hii inazungumzia zama za fitna najinsi yakujiepusha na fitna,na ubaya wa fitna na shubuhati • Mada hii inazungumzia...
Mada hii inazungumzia mwelekeo wa mwanadamu na uwajibu wa kujitambua,na udhalili wa mwanadamu,na udanganyifu wa dunia.
Khutba hii inazungumzia chimbuko la amani,na misingi ya mshikamano.
Mada hii inazunguzia kisa cha kusisimua cha mwanamke mwenye subra.
Mada hii inazungumzia qiyamu layli,ubora wake na namna ya kuswali,na ulazima wa kuwali kisimamo cha usiku.
Mada hii inazunguzia Sharti za Walii katka ndoa,katika yalio zungumzwa:Sharti za walii,na Umuhumu wa kuheshimu Ndoa,na wanavyo takiwa wawe wanandoa.
Mada hii inazungumzia itikadi sahihi ya ahlusuna wal jamaa na imekusanya mambo muhimu katika mambo yanayo takiwa na kila muislam kuyatambuwa.
Mission Europe ni somo la lugha lenye sehemu tatu: Mission Berlin, Misja Kraków na Mission Paris. Jitose kwenye bahari ya lugha ujifunze, Kijerumani.
Kijerumani cha biashara kwa wazungumzaji walioendelea: Marktplatz ni somo la Kijerumani linalokufunza jinsi ya kutekeleza biashara zako za kila siku na mambo ya kiafisi.
Mada hii inazunguzia maana ya Ayayatul-kursy na utukufu wake.
Mada hii inazunguzia Maajabu ya watu wema walio tangulia.
Mada hii inazungumzia madhambi ya kuwasengenya watu na aina ya kumsema mtu.
Msahafu ulio somwa na msomaji Shawki Abdul Sadiq Abdul Hamid kwa riwaya ya Hafs kutoka kwa Aswim, ambao unasifa ya hali ya juu kwa ubora wa sauti na ufanisi Mp3 128 kbps.
Mada hii inazungumzia msimamo wa Uislam kuhusu kuhusu kupigana Jihadi katika njia ya Allah, na upambanuzi wake, na tatizo la waislam wengi kuto fatilia mambo kwa kina, na madhara ya Hamasa.
Mada hii inazungumzia msimamo wa Uislam kuhusu kujiripuwa na aina za kujitoa muhanga,hukumu ya kujitoa muhanga,na sababu za kujiripua na uislam wa mwenye kujiripua.
Mada hii imezungumzia matendo na madhara ya matendo mabaya na faida za kuwa na matendo mema.
Mada hii inazungumzia thamani ya matendo mema yanayo fanyika katika mwezi mtukufu wa ramadhani.
Mada hii inazunguzia maisha ya Swahaba mtukufu Abdullahi Bun Mas’uud (R.a)
• Mada hii inazungumzia maisha ya mwanadamu baada ya kuumbwa na mtu wakwanza kufa. • Mada hii inazunguzia mambo ambayo yatamkuta mtu kabla ya kufa. • Mada hii inazunguzia mambo ambayo yatamkuta mtu baada ya kutolewa roho.
Mada hii inazunguzia maisha ya Swahaba mtukufu Abuu Dharril ghafary (R.a)
Mada hii inazunguzia maisha ya Swahaba mtukufu Bilali Bin Rabbah (R.a)
Mada hii inazunguzia maisha ya Swahaba mtukufu Musw-ab Bun Umeyr (R.a)
Mada hii inazungumzia umuhimu wa kuamrishana mema na kukataza mabaya na nisababu ya kufanywa ummat muhammad kuwa bora na nisifa ya mtume (s.a.w)pia nisifa ya manabi wa allah (alayhimu ssalam).
Mada hii inazungumzia majibu kwa Mashia juu ya kusherehekeya kwao Krismas na hukumu ya kisheria ya uharam wa kusherehekea krismasi.
Mada hii inazungumzia mambo ambayo yasiyo haribu swaumu pindi atakapo yafanya mfungaji.
Muhadhara huu unazungumzia kumpwekesha allah,na umuhimu wa muislam kuwa na itikadi sahihi,na makosa yanayo pingana na itikadi sahihi.
Mada hii inazungumzia mambo ambayo yanayo haribu swaumu pindi atakapo yafanya mwenye kufunga.
Mada hii inazungumzia venye kufunguza swaumu,sindano ao kumuingilia mkeo kwa kusudi,nahukumu ya kulipa deni la ramadhani,na mwenye kufa akiwa na swaumu ya nadhiri.
Mada hii inazungumzia mambo yaliomo katika ramadhani,na mambo yanayo takiwa kabla ya ramadhani,na yanao paswa kwa muislam baada ya kuonekanwa kwa mwezi,na uharamu wa kufunga siku ya shaka.
Mada hii inazungumzia mambo yaliyo ruhusiwa kwa alie funga kuyafanya,kama kuamka na janaba,na kupiga mswaki,nayoote yasio funguza katika quraan na sunnah.
Mada hii inazungumzia maandalizi ya kisimamo cha kuutafuta usiku wa cheo(Laylatulqadri).
Mada hii inazungumzia bidaa ya kusherehekea maulidi, madahii inazungumzia asili ya maulidi, maana yake, hukumu ya maulidi, historia ya maulidi, na mwanzo wa maulidi, africa mashariki.
Muhadhara huu unazungumzia namna ya kutawadha,na kuoga,na kutayamamu,kupaka juu ya khofu,na jinsi ya kutawadha mgonjwa.pia namna ya kuswali,yanayo chukiza katika swala,na yanayo batilisha swala,na sijda ya kusahau,na hukumu ya mtu asie swali.
Mada hii inazungumzia misingi bora ya malezi ya mtoto katika uislam,tangu hajazaliwa mtoto,pia imezungumzia matatizo ya malezi na ufumbuzi wake.
Anuwani ya mada hii ni Misingi ya da’awa ya kweli, pia inazungumzia: Umuhimu wa elimu na maoni ya watu katika kutengeneza umma wa kiislam.
Khutba hii inazungumzia namna ambavyo anatakiwa kuwa muislam baada ya ramadhani,na hali ya waislam katika ukanda wa gaza.
Mada hii inazungumzia: Kauli za wanachuoni kuhusu watawala ambao ni makafiri, na hukumu ya Mwanamke kuolewa na mtu wa bid’a.
Mada hii inazungumzia: Hali za waislamu pamoja na makafiri, sababu za udhaifu wa waislamu na siri ya umma kuwa na nguvu.
Katika mfululizo wa vipindi vyetu utapata fursa ya kujifunza kuhusu masuala ya uchumi na biashara pamoja na mazingira.
Mada hii inazungumzia rehema ya allah kwa waja wake wadhaifu,na swaumu ya mwnye mimba na anae nyonyesha.na wakati anao takiwa kula alie funga swaumu.
Mada hii inazungumzia namna ya kuupokea mwezi wa ramadhani,na bishara za mwezi wa ramadhani,tofauti kati ya ramadhani wakati wa mtume na wakati wetu.
Mada hii inazungumzia neema ya mtoto na umuhimu wa kumlinda motto.
Mada hii inazungumzia kafara kwa mwenyekumuingilia mkewake mchana wa mwezi wa ramadhani,na utaratibu wa kulipa fidia,na hukumu ya mwanamke mjamzitu katika mwezi wa ramadhani.na usiku wacheo.
Mada hii nazungumzia umuhimu wa kufanya ibada na mambo mema katika muda wote wa uhai
Mada hii inazungumzia fitna zilizoenea katika zama na namna ya kijiepusha.
Mada hii inazungumzia kula daku na fadhila za kula daku,na daku bora kwa muislam,na uchache wa daku,hukumu ya kuchelewesha daku.
Mada hii inazungumzia maana ya ibada na athari za ibada na juhudi za maswahaba katika kuifwaata dini. pia madahii inazungumzia maana ya lailaha ila allah.
Mada hii inazungumzia kuondoa uovu na hatuwa zake.
Mada hii imezungumzia mbinu za iblisi katika kuwapoteza watu,na sababu zinazo msaidia mtu kuwa katika ibada baada ya ramadhan.
Mada hii inaelezea umuhimu wa ndoa.
Khutba hii inazungumzia lini tutapata ushindi na sababu za kupata ushindi,na mambo ambayo yanayo ziwiya ushindi.
Mada hii inazungumzia itikadi sahihi ya mwislam ambayo anatakiwa kila muislam kuifuata,pia itikadi ambayo mwislam hatakiwa kuifuata kama itikadi za kishia na itikadi za kinaswara.
Mada hii inazungumzia hukumu ya iddi ya kuchinja na hukumu zake na upotovu wa wanao funga siku ya iddi.
Shirika pekee la utangazaji la umma nchini Japani NHK, hutoa bure mafunzo haya yanayoaminika kwa huduma ya podcast. Unaweza kuanza kujifunza kwa urahisi sarufi ya msingi na misamiati kwa kusikiliza simulizi za Anna, anayejifunza Kijapani katika ch...
Anuwani ya mada hii ni: Da’awa ya haki inapiga vita makundi ya kisiasa, imeongelea pia aina za makundi na misingi ya da’awa ya kisnna.
Mada hii inazungumzia hikima mbalimbali za funga na siri mbalimbali,na mambo mengi yaliyomo katika ramadhani,na sifa za watu wema katika swaumu.
Mada hii nazungumzia ubora wa elim ya sheria ya Dini ya kiislam, na umuhim kusoma elim nyingine.
Mada hii inazungumzia fadhila za swaumu,na dalili zilizo kuja kueleza ubora wa swaumu,na nguvu za swaumu katika kuziwiya madhambi.
Mada hii inazungumzia fitna za mpira wamiguu na masharti ya kuangalia mpira.
Mada hii inazungumzia alama za laylatul qadri,na alama batili za laylatul qadri,na hukumu za itikafu.
Commanding Beneficence And Forbiding Maleficence
Muhadhara huu unazungumzia cheo cha maswahaba,na nafasi yao katika umma wa kiislam, na thamani yao kwa allah,na uwajibu wa kutetea heshima yao.
Mada hii inazungumzia adabu za dua na masharti ya kujibiwa dua na jinsi alivyokuwa akiomba mtume -swala Allah alayhi wasalama- wakati wa kufungua swaumu na baada ya kufungua swaumu.
Mada hii inazungumzia adabu za dua na nyakati muhimu za kujibiwa dua.
Mada hii inazungumzia adabu za dua yakiwemo mambo yanayo ziwiya dua kujibiwa.
• Mada hii inazunguzia Sunna Adabu za chakula na tofauti zao katika kupata rizki na hukumu za bismilahi katika kula. • Mada hii inazunguzia Adabu za kula na hukumu ya kudhihirisha bismilahi,na hukumu ya kuacha bismilahi. • Mada hii inazunguzia Ada...
Mada hii inazungumzia adabu za dua nambo anayotakiwa kuyafanya mwenya kuomba dua.
Mada hii inazungumzia adabu za dua yakiwemo mambo ambayo hutakiwi kumuomba Allah,na umuhimu wakumuombeya nduguyako moyoni.
Mada hii inazungumzia adabu za siku ya kwanza ya kukutana mume na mke kwajili ya kushiriki tendo la ndoa.
Mada hii inazunguzia adabu za mchezo na mzaha, na vipi Maswahaba walifanya michezo na mizaha.
Mada hii inazunguzia adabu na umuhimu wa salam katika uislam
Mada hii inazungumzia Adabu za kiislam na adabu za Msikiti na umuhimu wake.
Mada hii inazungumzia adabu za kuzungumza katika uislam.
Mada hii inazungumzia adabu za siku ya Idd
1- Mada hii inazunguzia namna umma ulivyozama katika madhambi na tiba ya kuacha madhambi. 2- Mada hii inazungumzia baadhi ya njia zinazo msaidia mtu kuacha madhambi ikiwemo dua na kushindana na nafsi,na kujiepusha na marafii wabaya.
Mada hii inazunguzia Matatizo ya vijana wa kiislam na tiba yake.
Mada hii inazungumzia baadhi ya tabiya za zama za mwisho ikiwemo kuwatuka mashe,nakuwakufurisha watu.
Andreas ana shughuli nyingi za kufanya. Inambidi kushughulikia wageni hotelini, kuwatafutia wazazi wake chumba na pia kumhoji Charlemagne. Ziada ya hayo, wazazi wake wanamchunguza ex ni nani na wapi alikutana na binti yao. Mambo muhimu ya sarufi: ...
Andreas anafanya kazi kwenye Hotel Europa iliyoko katika mji wa Aachen ili apate kugharamia masomo yake ya uandishi habari. Vituko vinaanza baada ya kutoweka kwa mwanamuziki maarufu kutoka chumba nambari 10. Mambo muhimu ya sarufi: Mnyambuliko wa ...
Andreas bado anafanya kazi Aachen, lakini Dr Thürmann amepata kazi mpya kwa mwenye mtizamo wa kuwa mwandishi habari. Berlin: Jiji kubwa na linalovutia zaidi linamsubiri. Mambo muhimu ya sarufi: Wakati uliopita hali ya kuendelea, vishazi tegemezi, ...
Andreas amekamilisha masomo yake na yuko tayari kufanya utafiti wa makala yake ya kwanza. Kazi yake inamwelekeza na inampeleka (bila shaka pamoja na rafiki yake wa ajabu ex) katika iliyokuwa Ujerumani ya Mashariki. Mambo muhimu ya sarufi: Kauli-te...
Mada hii inazungumzia mambo 6 ambayo muislam amepewa dhamana ya kuingia peponi mwenye kuyahifadhi.
Mada hii inazunguzia maradhi ya moyo, na katika maradhi makubwa ya moyo ni dhana mbaya.
Mada hii inazungumzia tafsiri ya suratul qadri na kueleza ibada kubwa aliyokuwa akifanya mtume (s.a.w)na fadhila za kusimama kuitafuta laylatul qadri,na yanayo semwa katika usiku wa laylatul qadri.
Mada hii inazungumzia mmomonyoko na mvurugiko wa maadili katika nyumba za waislam, na uwajibu wa kujifunza kwa mtume alayhi salam.
Mada hii inazungumzia mwezi mwandamo na uwajibu wa muislam pindi unapo onekana mwezi,na kuwatanabaisha waislam kuhusu ubainifu wa mwezi wa kitaifa na kimataifa,na umuhimu wa kufunga kama alivyo funga mtume (s.a.w)
Mada hii imezungumzia mwangaza wa Quran na sababu ya kupata nguvu uislam na madhara ya kuto kujitambuwa na kisa cha vijana wa pangoni.
Mada hii inazungumzia Mwisho wa maisha ya mwanadamu na jinsi ya kujiandaa na Akhera.
Mada hii inazungumzia thamani ya swala ya Alfajiri katika Jamaa katika mwezi wa ramadhani,na namna ambavyo zinavyo zidishwa thawabu za swala ya alfajiri.
1- Mada hii inazunguzia ubora wa kumtaja Allah na umuhimu wa kula kwa mkono wa kulia 2- Mada hii inazunguzia ubora wa kufanya dhikri Na malipo ya mwenye kufanya Dhikri. 3- Mada hii inazunguzia ubora wa kufanya dhikri kama alivyotufundisha Mtume (...
Mada hii inazungumzia ubora wa elimu ya kisheria na utukufu wa mwenye kujifunza elimu huyo.
Khutba hii inazungumzia miezi mitukufu na cheo chake na utukufu wake katika uislam.
Mada hii inazunguzia namna ya kuutumia udhaifu katika kuupata ucha Mungu
Mada hii inazunguzia uhakika wa Nabii Issa ndani ya Qur’an tukufu, na katika Biblia, na sababu ya kupandishwa Mbinguni.
Mada hii inazungumzia mambo ambayo unapoyafanya unatoka katika uislam nayo niushirikina.
Mada hii inaelezea namna jamii ilivyo vurugika na uislam ndio dini pekee ya kuweza kubadisha maadili.
Muhadhara huu unazungumzia uislam,historia ya uislam. na ujumbe wa mwanadamu,na dini ya haki kwa allah,na chanzo cha kukengeuka mwanadamu,na wito wa uislam kwa ulimwengu.

FOLLOW US AND GET THE BEST PODCAST EPISODES

History: Facebook / Twitter
Comedy: Facebook / Twitter
Politics: Facebook / Twitter
Crime: Facebook / Twitter
Crypto: Facebook / Twitter
NBA: Facebook / Twitter
Business: Facebook / Twitter
Fitness: Facebook / Twitter
Movie: Facebook / Twitter